
Furious Attack
Mwanajeshi wa zamani wa vikosi maalum (Special Forces) anaingia kwa siri kaskazini mwa Myanmar baada ya binti yake kutoweka. Katika utafutaji wake, anagundua kuwa binti yake ameangukia kwenye mtandao hatari wa magenge ya utapeli na biashara haramu ya viungo vya binadamu. Akiwa peke yake, anaanza kuwafuatilia wahusika na kupambana na walinzi na wanachama wa magenge hayo ili kumkomboa binti yake. Hatimaye, safari yake inampeleka moja kwa moja kwa boss mkuu wa mtandao huo wa uhalifu, ambapo anakabiliana naye katika pambano la mwisho la kuamua maisha ya binti yake.
DJ Dax