
Kisasi
Mhusika mkuu, Nozomi, alikuwa katika kilele cha furaha baada ya kushika mimba ya mtoto na mumewe, Ryoichi, lakini alipata ajali alipokuwa likizoni. Alipozinduka baadaye, aliambiwa kuwa mtoto aliyekuwa akiwatarajia alizaliwa akiwa ameshafariki, na kwamba miaka minne ilikuwa imepita.
Dj macklove@djmacklove