
Mapenzi ya Kutisha
Hadithi ya mapenzi yenye kutia hofu inajitokeza kati ya mrithi wa hoteli ya kifahari—ambaye huona mambo yasiyopaswa kuonekana—na mwendesha-mashtaka anayefanya kazi bila kuchoka kutatua kesi za zamani ambazo hazijatatuliwa, lakini ambaye huogopa sana mizimu.
Dj macklove